Home > Terms > Swahili (SW) > red couplet (duilian)

red couplet (duilian)

Red couplet (au duilian) ni aina ya mashairi ya Kichina, kwa kawaida hutolewa katika pande mbili za milango inayoelekea kwa makazi ya watu. Kwa kawaida wao huonekana karibu na wakati wa Mwaka Mpya wa Kichina na kiasi cha misimbo ni sawa, na huandikwa katika mtindo wa kitambo zaidi ambapo msimbo moja ni neno moja.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Thanksgiving

Sikukuu ya kutoa shukrani

Sikukuu ya kutoa shukrani ni kauli maarufu inayotumiwa na watu kuadhimisha likizo ya Sikukuu ya Shukrani. Shukrani ni sherehe hasa katika United ...